包详细信息

nida-tz

matayo-ayo38Custom4.1.1

Karibu katika npm hii ya kupata taarifa za namba za nin

tz, nin, nida, verify

自述文件

nida-tz

npm package kwa data za nin.

1. Installation

npm install nida-tz
# au
npm i nida-tz

2. Jinsi ya Kutumia

using import

import { getNin } from "nida-tz";
const nin = "XXXXXXXXXXXXXXXXXXXX"

(async () => {
  const userData = await getNin(nin);
  console.log(userData);
  }
)();

using require

const nidaTz = require("nida-tz");
const nin = "XXXXXXXXXXXXXXXXXXXX"

(async () => {
  const userData = await nidaTz.getNin(nin);
  console.log(userData);
  }
);

3. Matokeo

  nin: 'XXXXXXXXXXXXXXXXXXXX',
  nationality: 'Nationality',
  dob: 'YYYY-MM-DD',
  sex: 'SEX',
  fName: 'First name',
  mName: 'Middle name',
  lName: 'Last / Surname'

4. Maana ya Baadhi ya Jumbe

Mtumiaji hakupatikana

    1. Namba si sahihi.
    1. Namba haikutambulika.
    1. Ingiza namba sahihi kuendelea

Imeshindwa kupata data

    1. Kuna tatizo la kimchakato au mtandao.
    1. Jaribu tena baada ya muda mchache.

5. ANGALIZO

  • Namba inapaswa kuwa katika mfumo wa string.
  • Package hii ni kwa majaribio
  • Package hii haiusiki na matumizi yoyote yasiyo ya kimaadili

Maktaba hii si rasmi